Karibu kwenye majina-ya-watoto.ʍ.com! Hapa utapata habari ya kuvutia kuhusu majina zaidi 100,000! Kwa mfano, maana, asili na umaarufu wa jina lako la kwanza.
Je, unatafuta jina nzuri la mtoto wako? Basi umekuja pahala pazuri. Majina-ya-watoto.ʍ.com ni tovuti kamili zaidi ulimwenguni!
Maoni ya hivi karibuni
Peter♂12-08★★★★★Nataka kujua maana halisi ya jina peter na nyota yake
Agripina♀12-08★★★★★ninataka kufahamu maana ya jina langu pia ninataka kufahamu jina langu lipo katika kitabu Gani cha biblia
Rehema♀12-08★★★★★Jina langu ni zuri na najivunia sana
Jackline♀11-08★★★★★jina langu ni la baraka tele
Antony♂11-08★★★★★Watu wenye akili na wapole sana
Salum♂10-08★★★★★Ningependa kujua nyota na maana ya jina langu
Salum♂10-08★★★★★Ndiyo nataka kujua maana na nyota ya jina langu salum
Isaya♂10-08★★★★★Jina hili linapaswa kuheshimiwa sana
Nasra♀ 9-08★★★★★Napenda jina langu
Eugène♂ 8-08★★★★★Jina langu lina maana gani nalina nyota gani
Nelson♂ 7-08★★★★★Inabidi mlitamke vizuri na wakati wa ktandika angalia usikosee spelling
Eudosia♀ 7-08★★★★★Apana ila natamani kujua maana ya jina langu
Ian♀ 6-08★★★★★napenda sana warembo wakiniita
Ian♂ 6-08★★★★★Kwani jina hili hubaki kua tu la watoto
Felician♂ 5-08★★★★★Jina zuri na lenye kunivutia
Nickson♂ 5-08★★★★★Nalipenda sana jina langu ila nilitaman kuijua nyota yangu ya bahati
Janeth♀ 4-08★★★★★Nalipenda, nalifurahia, limenifanya nimekua baraka. Ninaishi chini ya Neema kubwa.
Saguda♂ 4-08★★★★★Nataka kujua maana ya jina langu
Saguda♂ 4-08★★★★★Maoni yangu nataka kufahamu maana halisi ya jina langu
Protus♀ 3-08★★★★★Lina maana gani?
Winfrida♀ 2-08★★★★★Nalipenda jina langu na ninafurahi kuitwa Winifrida
Ewald♀ 2-08★★★★★Usaidiz wenu naomba kuijua maana alisi ya jina langu Eliud pamaja na nyota
William♂ 2-08★★★★★Kufahamu maana yake
Swedi♂ 1-08★★★★★Maana ya jina swedi
Rebecca♀31-07★★★★★Nataka kujua maana yake nay nyota yanngu
Eliud♂30-07★★★★★Ndio napenda niijuwe nyota yangu
Ayubu♂29-07★★★★★Maana yake