Tafadhali jibu maswali 5 kuhusu jina lako la kwanza: Jina lako:
Karibu kwenye majina-ya-watoto.ʍ.com!
Hapa utapata habari ya kuvutia kuhusu majina zaidi 100,000! Kwa mfano, maana, asili na umaarufu wa jina lako la kwanza.
Je, unatafuta jina nzuri la mtoto wako? Basi umekuja pahala pazuri. Majina-ya-watoto.ʍ.com ni tovuti kamili zaidi ulimwenguni!

Browse names by letter

Maoni ya hivi karibuni
Aurajana
Kujua aura
Goodluckjana
Kujua nyota yangu
Yusufjana
Yusuf ni jina nzuri ,na wote wenye majina hayo ;ni wapole,wanyenyekevu wenye adabu na heshima,smart& watanashati
Isabella16-08
Nalipenda Sana Jna Langu
Enelia16-08
nalipenda sana jina langu lakini mpka sasa sijajua maana yake kwasababu wazazi wangu nao hawalijui
Isaya16-08
SINA MAONI
Jovini15-08
naomba kujua maana ya jina langu maana watu wengi wanalipenda
Edwin15-08
Ndio napenda jina la Edwin MAANA yake ni nini
Enisia15-08
Nataka kujua maana yake
Ilham14-08
naitaji kujua maana yake
Gastor14-08
Anayejiamini na apendaye furaha siku zote na mpole
Gastor14-08
Anayejiamini na apendaye furaha siku zote na mpole
Anora14-08
Je! Hili nijina la kiislam au la kikristo?
Anderson14-08
Ndiyo nataka kujua maana na asiri ya jina langu
Anderson14-08
Ndiyo nataka kujua maana ya jina langu na asiri yake wapi
Emran13-08
Ndio nataka kujua maana ya jina emran
Asia13-08
Jina langu Ni zuri sanaaa!!
Ni jina kubwa na watu wanalipenda sana
Jina langu linaweza kutamkwa kwa
Lugha yoyote...Asia...um proud of my name
Rajya13-08
naitaji kufahamu maana ya rajya kiislam linamana gani na nyota yake
Rajya13-08
naitaji kufahamu maana ya rajya kiislam linamana gani na nyota yake
Rajya13-08
naitaji kufahamu maana ya rajya kiislam linamana gani na nyota yake
Rajya13-08
naitaji kufahamu maana ya rajya kiislam linamana gani na nyota yake
Anora13-08
Nimelipenda sana
Nasma13-08
nalipenda Sana jina langu
Tina12-08
Maana jina jordan
Godfrey12-08
NINI MAANA YAKE
Jolin12-08
Naomba maana ya jolin
Leonard11-08
ZURI
Noreen11-08
Ningependa kujua maana halisi ya jina langu na historia yake
Leonard11-08
HAPANA
Vaileth10-08
naomba jina langu lisikatishe namna ya utamkaj
Agape 9-08
Sifa za jina Agape
Berenice 9-08
Kifup nalipenda jina langu na napenda nionewatu wakilitumia
Raimo Anton 9-08
Je mnaweza kunipa maana ya jina langu,
Barakah 9-08
ndiyo,jina la linaandikwa hivi baraka kwann inawekwa h mbele ikiandikwa hivi barakah itatamkwaje
Ruqaiya 9-08
Ndio nataka kujua maana yake
Ruqaiya 9-08
Ndio nataka kujua maana yake
Eliya 9-08
Jina la eliya Rina Mana gani au ndoto gani
Ivan 9-08
Kujua maana halisi ya jina hilo hasa katika maandiko matakatifu
Euphrasia 8-08
NinI maana ya jina langu
Sadiki 8-08
Maoni ni kujuwa maana ya jina langu SADIKI linamaana gani kwa ufupi